sw_tn/heb/11/05.md

950 B

Kwa imani Enoko alichukuliwa juu na hakuonja mauti

Kwa imani Enoko hakufa kwa sababu Mungu alimchukua.

Tazama Kifo

Kufa.

Kabla hajachukuliwa juu

"Kabla Mungu hajamchukua juu"

alikuwa ameshuhudiwa kwamba amempendeza Mungu. Maana dhaaniwa: 1) "Mungu alisema Enoki alikuwa amempendeza," 2) "Watu walisema Henoko alikuwa amempendeza Mungu."

sasa pasipo imani

Sasa hapa haimaanishi kwamba wakati huu lakini imetumika kuvuta usikivu kwa ajili ya kipengele kinachofuata.

Pasipo imani haiwezekani kumpendeza yeye

"mtu anaweza kumpendeza Mungu kama tu ana imani katika Mungu"

yeyote ajaye kwa Mungu

yeyote ajaye kwa Mungu

anayetaka kumwabudu Mungu na kuwa sehemu ya watu wake kunaongelewa kana kwamba ni kuja kwa Mungu. "mtu yeyote anayehitaji kuwa sehemu ya Mungu"

huwapatia zawadi

"huwapatia wale"

wale wote wamtafutao

Kujifunza kuhusu Mungu na kufanya juhudi kumtii kunaongelewa kana kwamba mtu anamtafuta mtu mwingine.