sw_tn/heb/09/25.md

28 lines
728 B
Markdown

# Hakuingia kule
" Hakuingia mbinguni"
# mwaka baada ya mwaka
"kila mwaka" au "mwaka baada ya mwa
# na damu ya mwingine
Hii inamaanisha na damu ya mnyama wa kafara, na sio kwa damu yake mwenyewe.
# na kama hiyo ilikuwa kweli/ sababu
"Kama alipaswa kutoa mara nyingi"
# tangu mwanzo wa ulimwengu
Uumbaji wa dunia unaongelewa kana kwamba ni jengo na msingi wake ulikuwa sehemu ya kwanza kujengwa. AT: "tangu Mungu alipoanza kuiumba dunia"
# amefunuliwa
Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "Mung amemfunua"
# kuindoa dhambi kwa dhabihu yake mwenyewe
Hii inaongea kuhusu dhambi kana kwamba kilikuwa ni chombo ambach mtu angeweza kukiondoa. AT: "kumsababisha Mungu kusamehe dhambi kwa kujidhabihu mwenyewe"