sw_tn/heb/09/25.md

728 B

Hakuingia kule

" Hakuingia mbinguni"

mwaka baada ya mwaka

"kila mwaka" au "mwaka baada ya mwa

na damu ya mwingine

Hii inamaanisha na damu ya mnyama wa kafara, na sio kwa damu yake mwenyewe.

na kama hiyo ilikuwa kweli/ sababu

"Kama alipaswa kutoa mara nyingi"

tangu mwanzo wa ulimwengu

Uumbaji wa dunia unaongelewa kana kwamba ni jengo na msingi wake ulikuwa sehemu ya kwanza kujengwa. AT: "tangu Mungu alipoanza kuiumba dunia"

amefunuliwa

Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "Mung amemfunua"

kuindoa dhambi kwa dhabihu yake mwenyewe

Hii inaongea kuhusu dhambi kana kwamba kilikuwa ni chombo ambach mtu angeweza kukiondoa. AT: "kumsababisha Mungu kusamehe dhambi kwa kujidhabihu mwenyewe"