# Hakuingia kule " Hakuingia mbinguni" # mwaka baada ya mwaka "kila mwaka" au "mwaka baada ya mwa # na damu ya mwingine Hii inamaanisha na damu ya mnyama wa kafara, na sio kwa damu yake mwenyewe. # na kama hiyo ilikuwa kweli/ sababu "Kama alipaswa kutoa mara nyingi" # tangu mwanzo wa ulimwengu Uumbaji wa dunia unaongelewa kana kwamba ni jengo na msingi wake ulikuwa sehemu ya kwanza kujengwa. AT: "tangu Mungu alipoanza kuiumba dunia" # amefunuliwa Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "Mung amemfunua" # kuindoa dhambi kwa dhabihu yake mwenyewe Hii inaongea kuhusu dhambi kana kwamba kilikuwa ni chombo ambach mtu angeweza kukiondoa. AT: "kumsababisha Mungu kusamehe dhambi kwa kujidhabihu mwenyewe"