sw_tn/heb/09/23.md

20 lines
822 B
Markdown

# Sentensi Unganishi:
Mwandishi anasisitiza kwamba Kristo (sasa yuko mbinguni anatuombea) alipaswa kufa mara moja tu kwa ajili ya dhambi na kwamba atarudi duniani mara ya pili.
# nakala ya vitu vya mbinguni vinapaswa kusafishwa kwa dhabihu ya hawa wanyama
"Makuhani wanapaswa kutumia dhabihu hii ya wanyama kusafisha nakala za vitu vya mbinguni"
# vitu vya mbinguni vyenyewe vilipaswa visafishwe kwa dhabihu zilizo bora zaidi
Ile ni bora zaidi ya dahabihu zilizotumika kusafisha nakala za duniani. Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "kama kwa vitu vya mbinguni vyenyewe, Mungu alipaswa kuvisafisha kwa dhabihu iliyo bora"
# ilitengenezwa kwa mikono
"Mikono" hapa inamaanisha mwanadamu. AT: "ambayo wanadamu walitengeneza na"
# ya kitu halisi
"sehemu ya kweli na takatifu ya patakatifu pa patakatifu"