sw_tn/heb/09/23.md

822 B

Sentensi Unganishi:

Mwandishi anasisitiza kwamba Kristo (sasa yuko mbinguni anatuombea) alipaswa kufa mara moja tu kwa ajili ya dhambi na kwamba atarudi duniani mara ya pili.

nakala ya vitu vya mbinguni vinapaswa kusafishwa kwa dhabihu ya hawa wanyama

"Makuhani wanapaswa kutumia dhabihu hii ya wanyama kusafisha nakala za vitu vya mbinguni"

vitu vya mbinguni vyenyewe vilipaswa visafishwe kwa dhabihu zilizo bora zaidi

Ile ni bora zaidi ya dahabihu zilizotumika kusafisha nakala za duniani. Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "kama kwa vitu vya mbinguni vyenyewe, Mungu alipaswa kuvisafisha kwa dhabihu iliyo bora"

ilitengenezwa kwa mikono

"Mikono" hapa inamaanisha mwanadamu. AT: "ambayo wanadamu walitengeneza na"

ya kitu halisi

"sehemu ya kweli na takatifu ya patakatifu pa patakatifu"