sw_tn/heb/08/03.md

48 lines
1.1 KiB
Markdown

# Kwa kuwa kila kuhani mkuu huteuliwa
Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji.AT: "kwa kuwa Mungu huteua kila kuhani'
# Sasa
hII haimaanishi "wakati huu," lakini imetumika ili kuvuta usikivu kwenye kipengele muhimu kinachofuata.
# kwa mjibu wa sheria
"kama Mungu anavyotaka katika sheria"
# nakala na kivuli
Haya maneno yana kimsingi yana maana moja ili kusisitiza kwamba hema ilikuwa ni sura halisi ya hema ya mbinguni.
# kivuli cha mambo ya mbinguni
Mwandishi anaongea hekalu la duniani, ambalo ni nakala ya hekalu la mbinguni, kana kwamba ilikuwa ni kivuli.
# Kama vile Musa alivyo onywana Mungu wakati alipokuwa
Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. "kama vile Mungu alivyomwonya Musa wakati Musa alipokuwa"
# alipotaka kuanza kujenga hema
Musa hakujenga hema yeye mwenyewe. Aliwaamuru watu kuijenga. AT: "alitaka kuwaawamuru watu kuijenga hema"
# "Tazama," Mungu akasema, "kwamba wewe...mlima
unaweza kutoa nukuu. AT: "Mungu akasema, 'tazama kwamba wewe... mlima""
# tazama
"Hakikisha"
# muundo
"kwa muundo"
# ilioonyeshwa
Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "Ile niliyokuonyesha"
# juu ya mlima
Mlima inanaanisha mlima Sinai.