# Kwa kuwa kila kuhani mkuu huteuliwa Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji.AT: "kwa kuwa Mungu huteua kila kuhani' # Sasa hII haimaanishi "wakati huu," lakini imetumika ili kuvuta usikivu kwenye kipengele muhimu kinachofuata. # kwa mjibu wa sheria "kama Mungu anavyotaka katika sheria" # nakala na kivuli Haya maneno yana kimsingi yana maana moja ili kusisitiza kwamba hema ilikuwa ni sura halisi ya hema ya mbinguni. # kivuli cha mambo ya mbinguni Mwandishi anaongea hekalu la duniani, ambalo ni nakala ya hekalu la mbinguni, kana kwamba ilikuwa ni kivuli. # Kama vile Musa alivyo onywana Mungu wakati alipokuwa Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. "kama vile Mungu alivyomwonya Musa wakati Musa alipokuwa" # alipotaka kuanza kujenga hema Musa hakujenga hema yeye mwenyewe. Aliwaamuru watu kuijenga. AT: "alitaka kuwaawamuru watu kuijenga hema" # "Tazama," Mungu akasema, "kwamba wewe...mlima unaweza kutoa nukuu. AT: "Mungu akasema, 'tazama kwamba wewe... mlima"" # tazama "Hakikisha" # muundo "kwa muundo" # ilioonyeshwa Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "Ile niliyokuonyesha" # juu ya mlima Mlima inanaanisha mlima Sinai.