sw_tn/heb/08/03.md

1.1 KiB

Kwa kuwa kila kuhani mkuu huteuliwa

Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji.AT: "kwa kuwa Mungu huteua kila kuhani'

Sasa

hII haimaanishi "wakati huu," lakini imetumika ili kuvuta usikivu kwenye kipengele muhimu kinachofuata.

kwa mjibu wa sheria

"kama Mungu anavyotaka katika sheria"

nakala na kivuli

Haya maneno yana kimsingi yana maana moja ili kusisitiza kwamba hema ilikuwa ni sura halisi ya hema ya mbinguni.

kivuli cha mambo ya mbinguni

Mwandishi anaongea hekalu la duniani, ambalo ni nakala ya hekalu la mbinguni, kana kwamba ilikuwa ni kivuli.

Kama vile Musa alivyo onywana Mungu wakati alipokuwa

Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. "kama vile Mungu alivyomwonya Musa wakati Musa alipokuwa"

alipotaka kuanza kujenga hema

Musa hakujenga hema yeye mwenyewe. Aliwaamuru watu kuijenga. AT: "alitaka kuwaawamuru watu kuijenga hema"

"Tazama," Mungu akasema, "kwamba wewe...mlima

unaweza kutoa nukuu. AT: "Mungu akasema, 'tazama kwamba wewe... mlima""

tazama

"Hakikisha"

muundo

"kwa muundo"

ilioonyeshwa

Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "Ile niliyokuonyesha"

juu ya mlima

Mlima inanaanisha mlima Sinai.