sw_tn/heb/07/27.md

753 B

Maelezo ya Jumla:

Maneno "Yeye" na "mwenyewe" yanaamaniisha Kristo. Neno "yake" linamaanisha makuhani wakuu wa duniani.

sheria uteua

Neno sheria hapa ni neno linalosimama kwa niaba ya Mungu, ambaye alianzisha sheria. Waisraeli waliteuwa makuhani wao kwa mjibu wa sheria.

wamaume waliokuwa dhaifu

wanaume waliokuwa dhaifu kiroho" au "wanaume ambao ni wadhaifu kw dhambi"

neno la kiapo, ambalo lilikuja baada ya sheria, lilimweka Mwana

"baada ya kuwapa sheria, Mungu aliapa kwa kiapo na kumteua Mwanawe"

kwa neno la kiapo

neno "kiapo" limepewa nafsi na linaelezewa kana kwamba ni mtu ambaye aliongea.

Mwana

Hiki ni cheo muhimu kwa Yesu, Mwana wa Mungu.

aliyefanywa kuwa mkamilifu

"aliyekamilishwa kumtii Mungu na kuwa mkomavu"