sw_tn/heb/07/27.md

28 lines
753 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Maneno "Yeye" na "mwenyewe" yanaamaniisha Kristo. Neno "yake" linamaanisha makuhani wakuu wa duniani.
# sheria uteua
Neno sheria hapa ni neno linalosimama kwa niaba ya Mungu, ambaye alianzisha sheria. Waisraeli waliteuwa makuhani wao kwa mjibu wa sheria.
# wamaume waliokuwa dhaifu
wanaume waliokuwa dhaifu kiroho" au "wanaume ambao ni wadhaifu kw dhambi"
# neno la kiapo, ambalo lilikuja baada ya sheria, lilimweka Mwana
"baada ya kuwapa sheria, Mungu aliapa kwa kiapo na kumteua Mwanawe"
# kwa neno la kiapo
neno "kiapo" limepewa nafsi na linaelezewa kana kwamba ni mtu ambaye aliongea.
# Mwana
Hiki ni cheo muhimu kwa Yesu, Mwana wa Mungu.
# aliyefanywa kuwa mkamilifu
"aliyekamilishwa kumtii Mungu na kuwa mkomavu"