# Maelezo ya Jumla: Maneno "Yeye" na "mwenyewe" yanaamaniisha Kristo. Neno "yake" linamaanisha makuhani wakuu wa duniani. # sheria uteua Neno sheria hapa ni neno linalosimama kwa niaba ya Mungu, ambaye alianzisha sheria. Waisraeli waliteuwa makuhani wao kwa mjibu wa sheria. # wamaume waliokuwa dhaifu wanaume waliokuwa dhaifu kiroho" au "wanaume ambao ni wadhaifu kw dhambi" # neno la kiapo, ambalo lilikuja baada ya sheria, lilimweka Mwana "baada ya kuwapa sheria, Mungu aliapa kwa kiapo na kumteua Mwanawe" # kwa neno la kiapo neno "kiapo" limepewa nafsi na linaelezewa kana kwamba ni mtu ambaye aliongea. # Mwana Hiki ni cheo muhimu kwa Yesu, Mwana wa Mungu. # aliyefanywa kuwa mkamilifu "aliyekamilishwa kumtii Mungu na kuwa mkomavu"