sw_tn/heb/07/04.md

36 lines
1.0 KiB
Markdown

# Sentensi Unganishi:
Mwandishi anasema kwamba ukuhani wa Melikizedeki ni bora kuliko wa ukuhani wa haruni na anakumbusha kuwa ukuhani wa Haruni haukukamilisha chochote.
# huyu mtu alikuwa
'Melikizedeki alikuwa"
# kwa upande mmoja...lakini kwa upande mwingine
maneno haya yametumika kulinganishwa vitu viwili. Lugha yako inaweza kuwa na namna ya msisitizo kwamba mwandishi anaweka ulinganifu. Au unaweza kutumia "kwa upande mwingine"
# Wana wa Lawi ambao hupokea ukuhani
Mwandishi anasema hili kwa sababu sio wana wote wa Lawi walikuwa makuhani.
# kutoka kwa watu
"kutoka kwa watu wa Israeli"
# kutoka kwa ndugu zao
Neno ndugu hapa linamaanisha kuwa wote wanahusiana kupitia kwa Abrahamu.
# wao, pia wanatoka katika mwili wa Abrahamu
Hii ni namna nyigine ya kusema walikuwa wana wa Abrahamu.
# ambao uzao wake haukutoka kwao
"ambao hawakuwa wana wa Lawi"
# yeye aliyekuwa na ahadi
Mambo ambayo Mungu aliahidi kufanya kwa ajili ya Abrahamu yanaongelewa kana kwamba vilikuwa ni vitu ambavyo angeweza kumiliki.