# Sentensi Unganishi: Mwandishi anasema kwamba ukuhani wa Melikizedeki ni bora kuliko wa ukuhani wa haruni na anakumbusha kuwa ukuhani wa Haruni haukukamilisha chochote. # huyu mtu alikuwa 'Melikizedeki alikuwa" # kwa upande mmoja...lakini kwa upande mwingine maneno haya yametumika kulinganishwa vitu viwili. Lugha yako inaweza kuwa na namna ya msisitizo kwamba mwandishi anaweka ulinganifu. Au unaweza kutumia "kwa upande mwingine" # Wana wa Lawi ambao hupokea ukuhani Mwandishi anasema hili kwa sababu sio wana wote wa Lawi walikuwa makuhani. # kutoka kwa watu "kutoka kwa watu wa Israeli" # kutoka kwa ndugu zao Neno ndugu hapa linamaanisha kuwa wote wanahusiana kupitia kwa Abrahamu. # wao, pia wanatoka katika mwili wa Abrahamu Hii ni namna nyigine ya kusema walikuwa wana wa Abrahamu. # ambao uzao wake haukutoka kwao "ambao hawakuwa wana wa Lawi" # yeye aliyekuwa na ahadi Mambo ambayo Mungu aliahidi kufanya kwa ajili ya Abrahamu yanaongelewa kana kwamba vilikuwa ni vitu ambavyo angeweza kumiliki.