sw_tn/heb/07/04.md

1.0 KiB

Sentensi Unganishi:

Mwandishi anasema kwamba ukuhani wa Melikizedeki ni bora kuliko wa ukuhani wa haruni na anakumbusha kuwa ukuhani wa Haruni haukukamilisha chochote.

huyu mtu alikuwa

'Melikizedeki alikuwa"

kwa upande mmoja...lakini kwa upande mwingine

maneno haya yametumika kulinganishwa vitu viwili. Lugha yako inaweza kuwa na namna ya msisitizo kwamba mwandishi anaweka ulinganifu. Au unaweza kutumia "kwa upande mwingine"

Wana wa Lawi ambao hupokea ukuhani

Mwandishi anasema hili kwa sababu sio wana wote wa Lawi walikuwa makuhani.

kutoka kwa watu

"kutoka kwa watu wa Israeli"

kutoka kwa ndugu zao

Neno ndugu hapa linamaanisha kuwa wote wanahusiana kupitia kwa Abrahamu.

wao, pia wanatoka katika mwili wa Abrahamu

Hii ni namna nyigine ya kusema walikuwa wana wa Abrahamu.

ambao uzao wake haukutoka kwao

"ambao hawakuwa wana wa Lawi"

yeye aliyekuwa na ahadi

Mambo ambayo Mungu aliahidi kufanya kwa ajili ya Abrahamu yanaongelewa kana kwamba vilikuwa ni vitu ambavyo angeweza kumiliki.