sw_tn/heb/05/06.md

16 lines
359 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Unabi huu unatoka katika Zabur ya Daudi.
# kama asemavyo/ pia anasema
kwa yule ambaye Mungu anaongea naye inaweza kusemwa wazi. AT: "pia anamwambia Kristo"
# katika sehemu nyingine
"katika sehemu nyingine katika maandiko"
# mfano wa Melkizedeki
Hii inamaana kuwa Kristo kama kuhani ana vitu vinavyofananana Melkizedeki kama kuhani.