# Maelezo ya Jumla: Unabi huu unatoka katika Zabur ya Daudi. # kama asemavyo/ pia anasema kwa yule ambaye Mungu anaongea naye inaweza kusemwa wazi. AT: "pia anamwambia Kristo" # katika sehemu nyingine "katika sehemu nyingine katika maandiko" # mfano wa Melkizedeki Hii inamaana kuwa Kristo kama kuhani ana vitu vinavyofananana Melkizedeki kama kuhani.