sw_tn/heb/02/07.md

1.1 KiB

mdogo kuliko malaika

Mwandishi anamuongelea mwanadamu kuwa sio wa muhimu kuliko malaika kana kwamba wanadamuwamesimama katika nafasi amabayo ni ya chini kuliko nafasi ya malaika. AT: "mdogo kuliko malaika."

amemfanya mtu...amevika... miguu yake... kwake

Maneno haya sio kwa ajili ya mlengwa mmoja bali inajumuisha wanadamu wote, inajumuisha wanaume na wanawake.AT: "amewafanya wanadamu... amewavika...miguu yao... kwao"

umemvika utukufu na heshima

zawadi ya utukufu na heshima zinaongelewa kana kwamba ni shada la majani lililowekwa kichwani mwa mshindi wa mchezo. AT:"umewapa utukufu mwing na heshima"

Umeweka kila kitu kiwe chini ya miguu yake

Mwandishi anamuongelea mwanadamu kuwa na utawala juu ya kila kitu kana kwamba wamesimama juu ya kila kitu. AT: "Umewapa kumiliki juu ya vitu vyote"

Hakuacha kitu chochote kisicho kuwa chini yake

maneno mawili hasi yanamaanisha kwamba vitu vyote vitawekwa chini ya Kristo. AT: "Mungu alifanya kila kitu kuwa chini yao"

Hatuoni vitu vyote vikiwa chini yake

tunafahamu kuwa bado wanadamu hawajawa wamiliki wa kila kitu