sw_tn/heb/02/02.md

40 lines
1.3 KiB
Markdown

# Kama ujumbe uliozungumzwa kupitia malaika
Wayahudi waliamini kuwa Mungu alisema sheria yake kupitia malaika. Hii inaweza kuelezewa katika mfumo tendaji. AT: "Kama ujumbe ambao Mungu aliongea kupitia malaika"
# Kwa kuwa kama ujumbe
Mwandishi ana hakika kuwa mambo haya ni kweli. AT: "Kwa sababu ujumbe"
# Ni halali
"ni sahihi au "kweli"
# kila kosa na uasi hupokea adhabu ya haki
Neno kosa and uasi husimama kwa ajili ya watu ambao wana hatia kwa ajili ya dhambi hizi. AT: "kila mtu atendaye dhambi atapokea adhabu ya haki"
# kosa na uasi
maneno haya mawili kimsingi yanamaanisha kitu kimoja.
# tutapataje kuepuka kama tusipojali wokovu mku u kama huu?
Mwanadishi anatumia swali kusisitiza watu wata pokea adhabu kama watakataa wokovu wa Mungu kupitia Kristo. AT: "hivyo Mungu atatuadhibu kama hatuutilii manani ujumbe wake kuhusu vile Mungu atakavyo tuokoa!"
# kutojali
"kutojali" au "kuona sio muhimu"
# Huu ni waovu ambao kwanza ulitangazwa na Bwana
Hii inaweza kusemwa katika mtumo tendaji. AT: "Bwana mwenyewe kwanza alitangaza ujumbe vile atakavyo tuokoa"
# na ametuthibitishia kupitia wale walio sikia
Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. " na wale walio siki ujumbe walituthibitishia"
# kulingana namapenzi yake
" kama jinsi alivyopenda kufanya"