# Kama ujumbe uliozungumzwa kupitia malaika Wayahudi waliamini kuwa Mungu alisema sheria yake kupitia malaika. Hii inaweza kuelezewa katika mfumo tendaji. AT: "Kama ujumbe ambao Mungu aliongea kupitia malaika" # Kwa kuwa kama ujumbe Mwandishi ana hakika kuwa mambo haya ni kweli. AT: "Kwa sababu ujumbe" # Ni halali "ni sahihi au "kweli" # kila kosa na uasi hupokea adhabu ya haki Neno kosa and uasi husimama kwa ajili ya watu ambao wana hatia kwa ajili ya dhambi hizi. AT: "kila mtu atendaye dhambi atapokea adhabu ya haki" # kosa na uasi maneno haya mawili kimsingi yanamaanisha kitu kimoja. # tutapataje kuepuka kama tusipojali wokovu mku u kama huu? Mwanadishi anatumia swali kusisitiza watu wata pokea adhabu kama watakataa wokovu wa Mungu kupitia Kristo. AT: "hivyo Mungu atatuadhibu kama hatuutilii manani ujumbe wake kuhusu vile Mungu atakavyo tuokoa!" # kutojali "kutojali" au "kuona sio muhimu" # Huu ni waovu ambao kwanza ulitangazwa na Bwana Hii inaweza kusemwa katika mtumo tendaji. AT: "Bwana mwenyewe kwanza alitangaza ujumbe vile atakavyo tuokoa" # na ametuthibitishia kupitia wale walio sikia Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. " na wale walio siki ujumbe walituthibitishia" # kulingana namapenzi yake " kama jinsi alivyopenda kufanya"