sw_tn/heb/02/02.md

1.3 KiB

Kama ujumbe uliozungumzwa kupitia malaika

Wayahudi waliamini kuwa Mungu alisema sheria yake kupitia malaika. Hii inaweza kuelezewa katika mfumo tendaji. AT: "Kama ujumbe ambao Mungu aliongea kupitia malaika"

Kwa kuwa kama ujumbe

Mwandishi ana hakika kuwa mambo haya ni kweli. AT: "Kwa sababu ujumbe"

Ni halali

"ni sahihi au "kweli"

kila kosa na uasi hupokea adhabu ya haki

Neno kosa and uasi husimama kwa ajili ya watu ambao wana hatia kwa ajili ya dhambi hizi. AT: "kila mtu atendaye dhambi atapokea adhabu ya haki"

kosa na uasi

maneno haya mawili kimsingi yanamaanisha kitu kimoja.

tutapataje kuepuka kama tusipojali wokovu mku u kama huu?

Mwanadishi anatumia swali kusisitiza watu wata pokea adhabu kama watakataa wokovu wa Mungu kupitia Kristo. AT: "hivyo Mungu atatuadhibu kama hatuutilii manani ujumbe wake kuhusu vile Mungu atakavyo tuokoa!"

kutojali

"kutojali" au "kuona sio muhimu"

Huu ni waovu ambao kwanza ulitangazwa na Bwana

Hii inaweza kusemwa katika mtumo tendaji. AT: "Bwana mwenyewe kwanza alitangaza ujumbe vile atakavyo tuokoa"

na ametuthibitishia kupitia wale walio sikia

Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. " na wale walio siki ujumbe walituthibitishia"

kulingana namapenzi yake

" kama jinsi alivyopenda kufanya"