sw_tn/gen/46/19.md

20 lines
471 B
Markdown

# Asenathi
"Asenathi" ni jina la mwanamke ambaye Farao alimpa Yusufu kuwa mke wake.
# Potifera
"Potifera" ni baba yake Asenathi.
# kuhani wa Oni
Oni ni mji, ambao pia unajulikana kama Heliopolisi, ambao ulikuwa "Mji wa Jua" na makao ya kumuabudu mungu wa jua Ra.
# Bela, Bekeri, Ashbeli, Gera, Naamani, Ehi, Roshi, Mupimu, Hupimu, na Ardi
Haya ni majina ya wanamume.
# jumla yao kumi na wanne
Hii ina maana ya wana 14 na wajukuu waliokuwa wamehusiana na Raheli.