# Asenathi "Asenathi" ni jina la mwanamke ambaye Farao alimpa Yusufu kuwa mke wake. # Potifera "Potifera" ni baba yake Asenathi. # kuhani wa Oni Oni ni mji, ambao pia unajulikana kama Heliopolisi, ambao ulikuwa "Mji wa Jua" na makao ya kumuabudu mungu wa jua Ra. # Bela, Bekeri, Ashbeli, Gera, Naamani, Ehi, Roshi, Mupimu, Hupimu, na Ardi Haya ni majina ya wanamume. # jumla yao kumi na wanne Hii ina maana ya wana 14 na wajukuu waliokuwa wamehusiana na Raheli.