sw_tn/gen/45/27.md

12 lines
318 B
Markdown

# Wakamwambia
"Wakamwambia Yakobo"
# maneno yote ya Yusufu aliyokuwa amewaambia
Hapa "maneno" yana maana ya kile kilichosemwa. "kila kitu ambacho Yusufu alikisema kwao"
# roho ya Yakobo baba yao ikafufuka
Neno la "roho" lina maana ya mtu mzima. "Yakobo baba yao alipona" au "Yakobo baba yao akawa na furaha sana"