sw_tn/gen/40/18.md

16 lines
459 B
Markdown

# Tafsiri ni hii
"Hii ndio maana ya ndoto"
# Vikapu vitatu ni siku tatu
"Vikapu vitatu vinawakilisha siku tatu"
# atakiinua kichwa chako kutoka kwako
Yusufu pia alitumia msemo huu "atainua kichwa chako" alipoongea kwa mnyweshaji katika 40:12. Hapa ina maana tofauti. Maana zaweza kuwa 1) "atainua kichwa chako na kuweka kamba katika shingo yako" au 2) "atainua kichwa chako kukikata"
# mwili
Hapa "mwili" una maana ya sehemu laini katika mwili wa mtu.