sw_tn/gen/36/34.md

28 lines
482 B
Markdown

# Yobabu
Hili ni jina la mwanamume.
# Hushamu ... Hadadi ... Bedadi ... Samla
Haya ni majina ya wanamume.
# Hushamu aliyekuwa wa nchi ya Watemani
Hii ina maanisha Hushani aliishi katika nchi ya Watemani. "Hushami aliyeishi katika nchi ya Watemani"
# Avithi ... Masreka
Haya ni majina ya mahali.
# Watemani
"vizazi vya Temani"
# Jina la mji wake
Hii ina maana ya kwamba huu ulikuwa mji ambao aliishi. "Jina la mji ambao aliishi"
# Samla wa Masreka
"Samra wa Masreka"