# Yobabu Hili ni jina la mwanamume. # Hushamu ... Hadadi ... Bedadi ... Samla Haya ni majina ya wanamume. # Hushamu aliyekuwa wa nchi ya Watemani Hii ina maanisha Hushani aliishi katika nchi ya Watemani. "Hushami aliyeishi katika nchi ya Watemani" # Avithi ... Masreka Haya ni majina ya mahali. # Watemani "vizazi vya Temani" # Jina la mji wake Hii ina maana ya kwamba huu ulikuwa mji ambao aliishi. "Jina la mji ambao aliishi" # Samla wa Masreka "Samra wa Masreka"