sw_tn/gen/35/16.md

44 lines
1.0 KiB
Markdown

# Efrathi
Hili ni jina lingine la mji wa Bethelehemu.
# akashikwa na uchungu
"Alikuwa na wakati mgumu wakati alipokuwa akimzaa mtoto"
# Alipokuwa katika utungu mzito zaidi
"Uchungu ulipokuwa katika hatua mbaya zaidi"
# mkunga
mtu anayemsaidia mwanamke anapojifungua mtoto
# Hata alipokaribia kufa, kwa pumzi yake ya mwisho
"pumzi yake ya mwisho" ni pumzi ya mwisho ya mtu kabla mtu hajafa. "Hata kabla hajafa, alipovuta pumzi yake ya mwisho"
# Benoni
"Jina la Benoni lina maana ya "mtoto wa majonzi yangu""
# Benyamini
Watafsiri wanaweza kuweka maandishi mafupi yasemayo "Jina la Benyamini lina maana ya "mtoto wa mkono wa kuume". Msemo wa "mkono wa kulia" unalenga sehemu yenye upendeleo maalumu.
# na kuzikwa
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "na wakamzika"
# katika njia
"pembeni mwa barabara"
# ndiyo alama ya kaburi la Raheli hata leo
"inaweka alama juu ya kaburi la Raheli mpaka siku hii"
# hata leo
"mpaka wakati huu wa leo." Hii ina maana hadi wakati ambapo mwandishi alikuwa akiandika haya.