sw_tn/gen/35/14.md

12 lines
285 B
Markdown

# nguzo
Hii ni nguzo ya ukumbusho ambayo ilikuwa jiwe au jabali kubwa iliyowekwa mwishoni pake.
# Akamimina juu yake sadaka ya kinywaji na akamimina mafuta juu yake
Hii ni ishara ya kwamba anaweka wakfu nguzo kwa Mungu.
# Betheli
"Jina la Betheli lina maana ya "nyumba ya Mungu".