# nguzo Hii ni nguzo ya ukumbusho ambayo ilikuwa jiwe au jabali kubwa iliyowekwa mwishoni pake. # Akamimina juu yake sadaka ya kinywaji na akamimina mafuta juu yake Hii ni ishara ya kwamba anaweka wakfu nguzo kwa Mungu. # Betheli "Jina la Betheli lina maana ya "nyumba ya Mungu".