sw_tn/gen/34/14.md

16 lines
460 B
Markdown

# Wakawambia
"wana wa Yakobo waliwaambia Shekemu na Hamori"
# Hatuwezi kufanya jambo hili, kumpa dada yetu
"Hatuwezi kukubali kumtoa Dina katika ndoa"
# kwani hiyo ni aibu kwetu
"kwa maana hiyo itasababisha aibu kwetu". Hapa "kwetu" ina maana ya wana wa Yakobo na watu wote wa Israeli.
# tutakapowapa binti zetu ... tutachukua binti zenu kwetu sisi wenyewe
Hii ina maana wataruhusu mtu kutoka familia ya Yakobo kuoa mtu anayeishi katika nchi ya Hamori.