# Wakawambia "wana wa Yakobo waliwaambia Shekemu na Hamori" # Hatuwezi kufanya jambo hili, kumpa dada yetu "Hatuwezi kukubali kumtoa Dina katika ndoa" # kwani hiyo ni aibu kwetu "kwa maana hiyo itasababisha aibu kwetu". Hapa "kwetu" ina maana ya wana wa Yakobo na watu wote wa Israeli. # tutakapowapa binti zetu ... tutachukua binti zenu kwetu sisi wenyewe Hii ina maana wataruhusu mtu kutoka familia ya Yakobo kuoa mtu anayeishi katika nchi ya Hamori.