sw_tn/gen/33/04.md

20 lines
601 B
Markdown

# kumlaki
"kukutana na Yakobo"
# akamkumbatia, akakumbatia shingo yake na kumbusu
Hii inaweza kutafsiriwa kama sentensi mpya. "Esau aliweka mikono yake kumzunguka Yakobo, kumkumbatia, na kumbusu"
# Kisha wakalia
Hii inaweza kusemwa kwa uwazi zaidi. "Kisha Esau na Yakobo wakalia kwa sababu walikuwa na furaha kuonana tena"
# aliona wanawake na watoto
"akawaona wanawake na watoto waliokuwa na Yakobo"
# Ni watoto ambao Mungu amempa mtumishi wako
Msemo "mtumishi wako" ni njia ya upole ya Yakobo akimaanisha yeye mwenyewe. "Hawa ni watoto ambao Mungu amenipatia mtumishi wako, kwa neema yake"