# kumlaki "kukutana na Yakobo" # akamkumbatia, akakumbatia shingo yake na kumbusu Hii inaweza kutafsiriwa kama sentensi mpya. "Esau aliweka mikono yake kumzunguka Yakobo, kumkumbatia, na kumbusu" # Kisha wakalia Hii inaweza kusemwa kwa uwazi zaidi. "Kisha Esau na Yakobo wakalia kwa sababu walikuwa na furaha kuonana tena" # aliona wanawake na watoto "akawaona wanawake na watoto waliokuwa na Yakobo" # Ni watoto ambao Mungu amempa mtumishi wako Msemo "mtumishi wako" ni njia ya upole ya Yakobo akimaanisha yeye mwenyewe. "Hawa ni watoto ambao Mungu amenipatia mtumishi wako, kwa neema yake"