sw_tn/gen/31/07.md

28 lines
456 B
Markdown

# amenidanganya
"amenidanganya" au "hajanitendea haki"
# ujira wangu
"alichosema atanilipa"
# kunidhuru
Maana zaweza kuwa 1) kudhuru kwa mwili au 2) kusababisha Yakobo ateseke kwa namna yoyote.
# Wanyama wenye mabaka
"Wanyama wenye madoa"
# kondoo wote walipozaa
"mifugo wakazaa"
# wenye milia
"Wanyama wenye milia"
# Kwa njia hii Mungu amemnyang'anya mifugo baba yenu na kunipa mimi
"Hivi ndivyo Mungu aliwapatia wanyama wa baba yenu kwangu"