# amenidanganya "amenidanganya" au "hajanitendea haki" # ujira wangu "alichosema atanilipa" # kunidhuru Maana zaweza kuwa 1) kudhuru kwa mwili au 2) kusababisha Yakobo ateseke kwa namna yoyote. # Wanyama wenye mabaka "Wanyama wenye madoa" # kondoo wote walipozaa "mifugo wakazaa" # wenye milia "Wanyama wenye milia" # Kwa njia hii Mungu amemnyang'anya mifugo baba yenu na kunipa mimi "Hivi ndivyo Mungu aliwapatia wanyama wa baba yenu kwangu"