sw_tn/gen/24/47.md

28 lines
642 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla
Mtumishi wa Abrahamu anaendelea kuzungumza kwa familia ya Rebeka.
# Binti wa Bethueli, Mwana wa Nahori, ambaye Milka alizaa kwake
"Baba yangu Bethueli. Wazazi wake ni Nahori na Milka"
# pete ... bangili
Katika simulizi hii, vitu vyote hivi vilikuwa vya dhahabu.
# nikainama
Hii ni ishara ya unyenyekevu mbele za Mungu.
# ameniongoza katika njia sahihi
"amenileta hapa"
# ambaye ameniongoza
Neno la kiunganishi "kwa sababu" linaweza kutumika kuonyesha hii ni sababu mtumishi alimuabudu Mungu. "kwa sababu Yahwe aliniongoza"
# ndugu za bwana wangu
Hii ina maana ya Bethueli, mwana wa Abrahamu kaka yake Nahori.