# Taarifa ya Jumla Mtumishi wa Abrahamu anaendelea kuzungumza kwa familia ya Rebeka. # Binti wa Bethueli, Mwana wa Nahori, ambaye Milka alizaa kwake "Baba yangu Bethueli. Wazazi wake ni Nahori na Milka" # pete ... bangili Katika simulizi hii, vitu vyote hivi vilikuwa vya dhahabu. # nikainama Hii ni ishara ya unyenyekevu mbele za Mungu. # ameniongoza katika njia sahihi "amenileta hapa" # ambaye ameniongoza Neno la kiunganishi "kwa sababu" linaweza kutumika kuonyesha hii ni sababu mtumishi alimuabudu Mungu. "kwa sababu Yahwe aliniongoza" # ndugu za bwana wangu Hii ina maana ya Bethueli, mwana wa Abrahamu kaka yake Nahori.