sw_tn/gen/21/19.md

24 lines
575 B
Markdown

# Mungu akayafunua macho ya Hajiri
Mungu kumfanya Hajiri aweze kuona kisima inazungumzwa kana kwamba alimfungua macho kihalisia. "Mungu alisababisha Hajiri kuona" au "Mungu alimuonyesha Hajiri"
# kiriba
"chombo kilichoundwa na ngozi" au "mfuko"
# kijana
"mvulana" au "Ishameli"
# Mungu akawa pamoja na kijana
Hapa msemo wa "akawa pamoja" ni lahaja ambayo ina maana ya Mungu alimsaidia au alimbariki mvulana. "Mungu alimuongoza mvulana" au "Mungu alimbariki mvulana"
# akawa mwindaji
"akawa na uwezo sana wa kutumia upinde na mishale"
# akampatia mke
"akapata mke"