sw_tn/gen/19/36.md

24 lines
441 B
Markdown

# wakapata mimba kwa baba yao
"wakawa mimba kupitia baba yao" au "wakapatawatoto kwa baba yao"
# Akawa
"Yeye ndiye"
# wamoabu hata leo
"Wamoabu ambao wanaishi sasa"
# hata leo
Neno "leo" lina maana ya kipindi ambapo mwandishi wa Mwanzo alipokuwa hai. Mwandishi alizaliwa na kuandika haya miaka mingi baada ya familia ya Lutu kuishi na kufa.
# Benami
Hili ni jina la mwanamume.
# watu wa Waamoni
"uzao wa Amoni" au "Watu wa Amoni"