# wakapata mimba kwa baba yao "wakawa mimba kupitia baba yao" au "wakapatawatoto kwa baba yao" # Akawa "Yeye ndiye" # wamoabu hata leo "Wamoabu ambao wanaishi sasa" # hata leo Neno "leo" lina maana ya kipindi ambapo mwandishi wa Mwanzo alipokuwa hai. Mwandishi alizaliwa na kuandika haya miaka mingi baada ya familia ya Lutu kuishi na kufa. # Benami Hili ni jina la mwanamume. # watu wa Waamoni "uzao wa Amoni" au "Watu wa Amoni"