sw_tn/gen/14/17.md

12 lines
258 B
Markdown

# kurudi
Taarifa inayodokezwa kuhusu wapi alipokuwa anarudi inaweza kuwekwa wazi. "alirudi hadi pale alipokuwa akiishi"
# Melkizedeki, mfalme wa Salemu
Hii ni mara ya kwanza mfalme huyu anatajwa.
# mkate na divai
Watu hula mkate na divai mara kwa mara.