# kurudi Taarifa inayodokezwa kuhusu wapi alipokuwa anarudi inaweza kuwekwa wazi. "alirudi hadi pale alipokuwa akiishi" # Melkizedeki, mfalme wa Salemu Hii ni mara ya kwanza mfalme huyu anatajwa. # mkate na divai Watu hula mkate na divai mara kwa mara.