sw_tn/gen/11/10.md

24 lines
578 B
Markdown

# Taarifa ya jumla
Sura iliyosalia inaorodhesha mtiririko wa vizazi vya Shemu mpaka vya Abramu.
# Hivi ndivyo vilikuwa vizazi vya Shemu
Sentensi hii inaanza orodha ya vizazi vya Shemu.
# gharika
Hii ilikuwa gharika kutoka kipindi cha Nuhu ambapo watu walikuwa waovu sana mpaka Mungu akatuma gharika nchi yote kufunika nchi.
# akawa baba wa Alfaksadi
"akapata mwana wake wa kiume Alfaksadi" au "mwana wake wa kiume Alfaksadi alizaliwa"
# Alfaksadi
jina la mwanamume
# mia moja ... miwili ... mia tano
Watafsiri wanaweza kuandika maneno au namba "100", "2", and "500".