# Taarifa ya jumla Sura iliyosalia inaorodhesha mtiririko wa vizazi vya Shemu mpaka vya Abramu. # Hivi ndivyo vilikuwa vizazi vya Shemu Sentensi hii inaanza orodha ya vizazi vya Shemu. # gharika Hii ilikuwa gharika kutoka kipindi cha Nuhu ambapo watu walikuwa waovu sana mpaka Mungu akatuma gharika nchi yote kufunika nchi. # akawa baba wa Alfaksadi "akapata mwana wake wa kiume Alfaksadi" au "mwana wake wa kiume Alfaksadi alizaliwa" # Alfaksadi jina la mwanamume # mia moja ... miwili ... mia tano Watafsiri wanaweza kuandika maneno au namba "100", "2", and "500".