sw_tn/gen/05/03.md

28 lines
610 B
Markdown

# 130 ... mia nane
Watafsiri wanaweza kuandika tarakimu "130" na "800" au maneno "mia moja na thelathini" na "mia nane".
# akamzaa mwana katika sura yake
"akamzaa mwana wa kiume"
# katika sura yake mwenyewe, kwa mfano wake
Misemo hii miwili inamaana moja. Inatumika kama kumbukumbu ya kwamba Mungu alimuumba binadamu katika mfano wake.
# Sethi
Sethi
# Akawazaa wana wengi waume na wake
"Akawa na wana zaidi wa kiume na kike"
# kisha akafariki
Msemo huu utarudiwa katika sura yote. "Kisha akaafa"
# Adamu akaishi miaka 930
Watu walikuwa wakiishi muda mrefu sana. "Adamu aliishi jumla ya miaka 930"