# 130 ... mia nane Watafsiri wanaweza kuandika tarakimu "130" na "800" au maneno "mia moja na thelathini" na "mia nane". # akamzaa mwana katika sura yake "akamzaa mwana wa kiume" # katika sura yake mwenyewe, kwa mfano wake Misemo hii miwili inamaana moja. Inatumika kama kumbukumbu ya kwamba Mungu alimuumba binadamu katika mfano wake. # Sethi Sethi # Akawazaa wana wengi waume na wake "Akawa na wana zaidi wa kiume na kike" # kisha akafariki Msemo huu utarudiwa katika sura yote. "Kisha akaafa" # Adamu akaishi miaka 930 Watu walikuwa wakiishi muda mrefu sana. "Adamu aliishi jumla ya miaka 930"