sw_tn/ezr/08/08.md

657 B

Taarifa kwa ujumla

Orodha ya majina ya wanaume inaendelea

wana wa Shephatia,Zebadia mwana wa Mikaeli

Hiki ni kitu cha pili katika orodha. Kinaweza kuandikwa pamoja na kitendo "ilikuwa." AT:"Kiongozi wa wana wa Shephatia alikuwa Zebadia mwana wa Mikaeli" au "Zebadia mwana wa Mikaeli alikuwa ni kiongozi wa wana wa Shephatia"

Shephatia

Tafsiri jina la mtu huyu kama ulivyofanya katika 2:3

Mikaeli

Hili ni jina la mtu.

na pamoja naye walikuwa wameorodheshwa wanaume themanini

"na pamoja na Zebadia walikuwa wameorodheshwa wanaume themanini"

Bebai

Tafsiri hii kama ulivyofanya katika 2:11

themanini...ishirini...nane

nane- "80...28"