# Taarifa kwa ujumla Orodha ya majina ya wanaume inaendelea # wana wa Shephatia,Zebadia mwana wa Mikaeli Hiki ni kitu cha pili katika orodha. Kinaweza kuandikwa pamoja na kitendo "ilikuwa." AT:"Kiongozi wa wana wa Shephatia alikuwa Zebadia mwana wa Mikaeli" au "Zebadia mwana wa Mikaeli alikuwa ni kiongozi wa wana wa Shephatia" # Shephatia Tafsiri jina la mtu huyu kama ulivyofanya katika 2:3 # Mikaeli Hili ni jina la mtu. # na pamoja naye walikuwa wameorodheshwa wanaume themanini "na pamoja na Zebadia walikuwa wameorodheshwa wanaume themanini" # Bebai Tafsiri hii kama ulivyofanya katika 2:11 # themanini...ishirini...nane nane- "80...28"