Hiki ni kitu cha pili katika orodha. Kinaweza kuandikwa pamoja na kitendo "ilikuwa." AT:"Kiongozi wa wana wa Shephatia alikuwa Zebadia mwana wa Mikaeli" au "Zebadia mwana wa Mikaeli alikuwa ni kiongozi wa wana wa Shephatia"
# Shephatia
Tafsiri jina la mtu huyu kama ulivyofanya katika 2:3
# Mikaeli
Hili ni jina la mtu.
# na pamoja naye walikuwa wameorodheshwa wanaume themanini
"na pamoja na Zebadia walikuwa wameorodheshwa wanaume themanini"